PROMOTE YOUR MUSIC.
JE ! wewe ni msanii na ungependa kuwa maarufu kwa kutangaza kipaji chako katika mtandao unaofikiwa na watu kote ulimwenguni ? Ujachelewa bado unaweza kutangaza nasi kupitia website yetu na mitandao yetu ya kijamii kwa kufuata mambo yafuatayo :-
(a) Hakikisha una Audio au Video yenye kiwango kinachotakiwa { Quality}
(b) Kwa Audio unatakiwa kuwa na photo cover yake pia yenye kiwango sahihi {Quality}
kama hauna cover tuta kusaidia kutengeneza Tuma link ya picha, audio au video yako kwa kuzingatia njia ifuatazo :-
Whatsapp: 0718841758 Bei yetu ya kutangaza nyimbo yako kwa Audio ni Tsh 7000 na Video Tsh 10,000
NJIA YA MALIPO
Malipo yote yafanyike kwenye akaunti ya ..... jina la akaunti ni .....Baada ya malipo tuma ujumbe mfupi au piga simu kwenye namba..... hapo kazi yako itaonekana. FAIDA ZA KUTANGAZA NASI
1. VIDEO au AUDIO yako itaweza kuonekana katika baadhi ya blog au website nyingine nyingi.
2.Nyimbo yako itaweza kuonekana GOOGLE na hapo itaweza kupakuliwa kupitia website yetu.3. Nyimbo yako itaweza kufikiwa na kusikilizwa na watu wengi kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi
4.Nyimbo yako itakuwa mtandaoni daima haitaweza kufutwa na yeyote yule.5.Wewe kama msanii unaweza kutengeneza mashabiki wengi na watu wa kudhamini kazi zako.
KUWA MAARUFU KWA KUTANGAZA NASI KOTE NCHINI
Whatsapp: 0718841758
4.Nyimbo yako itakuwa mtandaoni daima haitaweza kufutwa na yeyote yule.
No comments